Posts

Showing posts from July, 2016

Kwanini wajasiriamali wengine wanakopa, hawafanikiwi?

ZIKO SABABU NYINGI, LAKINI KUBWA NI KWAMBA WENGI WANAKOPA BILA MALENGO AU KUTOJIPANGA VIZURI KATIKA MATUMIZI; WENGINE UNAKUTA WANAONGEZEA MKE WA PILI AU NYUMBA NDOGO BADALA YA MAENDELEO, WENGINE WANANUNULIA NGUO MPYA NK

Unatafuta ndoa safi 100% SIKU ZOTE? Haipo, LABDA IANZE YAKO

HIVI karibuni nilitembelea mikoa ya Arusha, baadaye Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine nilikutana na baadhi ya watu na kuzungumza kuhusu mambo tofauti yakiwemo ya ndoa. 

Karibu watu wengi niliokutana nao walizungumzia kero katika ndoa huku baadhi yao wakiomba kujua mbinu za kuachana kutokana na kile walichosema kwamba ndoa zimekuwa ni za shida, badala ya faraja waliyoitarajia wakati wanaingia. 


;Kaka Lyassa, mimi ni muumini wako, nimekuwa nikisoma sana vitabu na makala ambazo umekuwa ukiandika kwenye magazeti, niliposikia unakuja, nikaona nije nikuone,; alisema mama mmoja ambaye aliomba uandikwe mkasa tu, si jina lake. 
;Nisaidie la kufanya ili niachane na mume wangu maana sioni faida ya kuwa naye.
Swali:Ulitarajia faida gani wakati unaingia kwenye ndoa? 
Jibu: Nipate mtu ambaye naweza kusaidiana naye katika maisha,sasa amekuwa ni kero, mambo mengi anajifanyia, kwa mfano sina kazi, yeye ameajiriwa na pia ana biashara, sijui hata huo mshahara wala chochote kuhusu biashara yake, niko tu n…

Huu ni uthibitisho kwamba sisi ni wawakilishi rasmi wa vyuo

Image
Uthibitisho kwamba sisi, Global Source Watch (GSW) ni wawakilishi rasmi wa chuo. Sisi tunafanya kazi kama wawakilishi wa vyuo na tunao uhakika wa asilimia mia moja kwamba utaweza kwenda nje. Usiwasiliane nasi kama unachotaka ni ufadhili. Wasiliana nasi 0754498972 Kwamba unachotakiwa kufanya ni kidogo sana, tupatie document zako, kisha tulia tutafanya kazi ya kukuunganisha kwa niaba yako.....
Wasiliana nasi: 0754498972
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>0754498972Kusoma Ukraine sasa imekuwa rahisi zaidi...

Image
Wasiliana na Global Source Watch, 0754498972
Full package costs of studies at the Kiev Institute of Business and Technology per year
Tuition Fee (One Year = 10 Months) US$ 1200 Hostel Fee (One Year = 10 Months) US$ 950 Transfer from Airport to KIBIT US$ 100 MedicalInsurance US$ 50 Insurance Liability during deportation (Per Year) US$ 55 TemporaryResidencePermit US$ 50 Legalization of the school certificate from Ministry of Education US$ 35 Registration by place of accommodation US$ 20 Deregistration (AfterYear) US$ 20 VisaSupportCharges

Breaking news...Rais JPM ateua, apandisha vyeo polisi

Image
Breaking news...Rais JPM ateua, apandisha vyeo polisiKwa wanaotaka kusoma Marekani

Image
Unahitaji kusoma chuo chochote Marekani? Wasiliana nasi kwa kutuma document zako kupitia:
globalsourcewatch@gmail.com au piga 0754498972

NB: Usiwasiliane nasi kuulizia ufadhili, sisi tunawakilisha rasmi vyuo, hatuwakilishi wafadhili. UTALIPA ADA BAADA YA KUFIKA CHUO HUSIKA

Tunakuhakikishia kukupatia ofa letter ndani ya saa 24, kisha utaanza safari ya kuondoka nchini kwenda nje kwa masomo. Tafadhari usiwasiliane nasi kwa lengo la kuomba ufadhili, sisi ni wawakilishi rasmi wa vyuo, hatuwakilishi wafadhili, karibu 0754498972

Image
Maharishi Markandeshwar University, Mullana - Ambala, was founded in the year 1993. The constituent institutions of the University are listed below

MM Engineering College
MM Institute of Computer Technology & Business Management (MCA)
MM Institute of Management
MM College of Nursing
MM College of Pharmacy
MM Institute of Nursing
MM College of Dental Sciences & Research
MM Institute of Physiotherapy & Rehabilitation
MM Institute of Computer Technology & Business Management (Hotel Management)
MM Institute of Medical Sciences & Research


GSW NI WAWAKILISHI RASMI WA VYUO KATIKA MATAIFA YA INDIA, USA, CANADA, MALAYSIA NK...0754498972

Image
Usiwasiliane nasi kuomba tukuunganishe na wafadhili... GSW NI WAWAKILISHI RASMI WA VYUO KATIKA MATAIFA YA INDIA, USA, CANADA, MALAYSIA NK...0754498972

MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA SITA (2016).

Baraza la mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha Sita 2016, wanaume wameongoza  katika kumi bora.
Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo ufaulu ulikuwa 98.87. 

Shule 10 zilizofanya vizuri: 
Kisimiri, Feza Boys, Alliance Girls, Feza Girls, Marian Boys, Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe, Ilboru, na Tandahimba Shule 10 zilizofanya vizuri ni: 1. Kisimiri - Arusha
2. Feza Boys - Dar es Salaam
3. Alliance Girls - Mwanza
4. Feza Girls - Dar es Salaam
5. Marian Boys - Pwani
6. Tabora Boys - Tabora
7. Kibaha - Pwani
8. Mzumbe - Morogoro
9. Ilboru - Arusha
10. Tandahimba - Mtwara Shule 10 zilizofanya vibaya 1. Mpendae - Unguja
2. Ben Bella - Unguja
3. Tumekuja - Unguja
4. Green Bird Boys - Kilimanjaro
5. Jang'ombe - Unguja
6. Kiembe Samaki - Unguja
7. Tanzania Adventist - Arusha
8. Al- Ishan Girls - Unguja
9. Azania - Dar es Salaam
10. Lumumba - Unguja

Imekuwaje shule za Serikali zimeibuka ghafla baada ya kuingia Magufuli? ha ha ha wapo wanaoweza kuuliza hilo...shule hizo ni T…

Walinzi watatu wa msemaji wa Serikali wauawa Sudani Kusini

Image
(JUBA) – Mauaji yanaendelea Sudani Kusini, nje ya watu zaidi ya 272 waliouwa ndani ya siku nne, jana walinzi watatu wa Msemaji wa Serikali, Jenerali  Lul Ruai Koang, wameuawa.

Jenerali Ruia (pichani) yuko kwenye kundi la askari wanaomuunga mkono Rais Salva Kiir.Mauaji haya yamefanyika Juba.

Ni kwamba mauaji haya yameendelea kufanyika licha ya kuwepo kwa maridhiano ya kuondoa tofauti zao baina ya askari wanaomuunga mkono  Kiir na makamu wake wa Rais Riek Machar.

Mkutano CCM waiva; kamati kuu Taifa Julai 21, halmashauri kuu Taifa Julai 22

Image

Ney wa Mitego akamatwa na polisi

Image
Mwanamuziki
Ney wa Mitego akamatwa na polisi.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum wa Dar es Salaam, Simoni Sirro ndiye aliyetoa taarifa hiyo, lakini hakueleza zaidi...bila shaka wakati utafika ataeleza kwa mapana.

Stay tune for more information.......

Director General, Director Human Resources and Administration, Director Infrastructure, Principal Planning and Research Officer, Legislative Draftsman, Principal Librarian, Principal Information Technology Officer, Principal Political Affairs Officer, Principal International Relations Officer, Principal Economist, Principal Agricultural Economist, Principal Education Officer, Principal Customs Officer, Principal Tourism Officer, Principal Trade Officer, Principal Standards Officer, Principal resources Mobilization Officer, Senior Meteorologist, Senior Materials /Pavement Engineer, Senior Records Officer, Senior Human Resources Officer, Senior Statistician, Senior Livestock Officer, Senior Accountant, Senior Energy Officer, Senior Monitoring and Evaluation Officer, Senior Conference Officer, Customs Officer, Budget Officer, Accountant

Image
Nasafi za kazi za kutosha....

Tunakosea Wapi...kitabu kipya kinakuja

Image
Tunakosea Wapi Jiandae kujipatia kitabu kipya kinachojibu maswali ya kwanini Tanzania bado duni kiuchumi licha ya kuwa na utitiri wa rasilimali....
*************************
Jina la kitabu>>> Tunakosea Wapi
-Mfano wa utafiti nilioufanya kuhusu biashara ya madini ya  tanzanite, ambayo yanapatikana Tanzania pekee, lakini Kenya inauza (dola100milioni) na India (dola300milioni) inayauza zaidi kwenye soko la dunia kuliko Tanzania (dola38milioni)- Niko kwenye maandalizi ya kukikamilisha...nakaribisha maoni/mchango wako kama unacho cha kushauri...simu/whatsap: 0754498972 Kama una makala ungependa iingie kwenye kitabu, iandike nitaipitia, na kurudi kwako au kufanya utafiti zaidi kwa mada ambayo utaiandika...email unayoweza kutuma makala au maoni yako ni Dismaslyassa@yahoo.com au globalsourcewatch@gmail.com Msingi wa kitabu ni kutafuta majibu juu ya kwanini tuko miaka 50 lakini tunaendelea kuwa kwenye orodha ya nchi maskini sana duniani....tuna rasilimali nyingi...tunakosea wapi>...

AAMUA KUISHI NA MDOLI KAMA MKEWE!

Image
AAMUA KUISHI NA MDOLI KAMA MKEWE!
Senji Nakajima mwenye umri wa 61 ameamua kuishi na mdoli (toy) anayemuita Saori, kama mkewe. Raia huyo wa Japani ameamua kuishi na mdoli huyo Saori kama mkewe baada ya kuacha na mkewe aliyezaa nae watoto wawili.
"nimeamua kuhalalisha mahusiano yetu baada ya kuishi na Saori kwa zaidi ya miaka 6 kama mkewe wangu, sasa nimeamua kuweka wazi kabisa mahusiano yetu!" alisema Senji Nakajima.
"mahusiano yangu na mpenzi wangu Saori ni mazuri sana na yako kwenye kiwango cha juu cha upendo, nimeamua kuishi na Saori baada ya kuchoshwa na mapenzi ya wanadamu ambao wengi wao ni wasaliti, wanavunja moyo na hawana upendo wa kweli!" Nakajima aliongeza.
Amekuwa anaenda na mpenzi wake huyo doli salon, shopping, outing na pia wana share nae kitanda kimoja. Madoli hayo ya mapenzi (sex toy) ambayo yanayotoka Udachi yamekuwa yanajipatia umaarufu sana huko Mashariki ya mbali yamekuwa yanauzwa kwa paund £ 4,000 Huku ndiko dunia inakoelekea!
Source:
https://www.…