Posts

Showing posts from August, 2017

MAGAZETI YA NIPASHE, MWANANCHI YAPEWA ONYO NA SERIKALI.

SERIKALI imevionya vyombo vya habari nchini hususan baadhi ya magazeti ambayo yamekuwa na mtindo wa kuandika habari pasi na kuzingatia maadili na weledi wa kitaaluma. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi alitahadharisha kuwa aina hiyo ya uandishi unaweza kuleta madhara kwa jamii. Katika onyo hilo, Dkt. Abbasi ametolea mfano vichwa vya habari katika kurasa za kwanza za magazeti ya Nipashe na Mwananchi matoleo ya leo Jumatano Agosti 30, 2017 ambavyo alisema vimelenga katika kuwatia hofu wananchi, kuleta taharuki na kuashiria sintofahamu kati ya wananchi na Serikali. Katika matoleo hayo ya leo Gazeti la Nipashe liliongozwa katika taarifa yenye kichwa cha habari “NI MATESO” na Gazeti la Mwananchi liliongozwa na habari yenye kichwa cha habari “Bomoabomoa Nyingine ya Kufa Mtu yaja Dar”. Mkurugenzi Mkuu huyo na Msemaji …

MKUU WA MKOA AAGIZA BAKWATA KUPATIWA ENEO LAO

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza halmashauri ya wilaya ya Karatu,kukabidhi Baraza kuu la waislamu nchini,Bakwata wilaya ya Karatu kiwanja chao kilichopo kata ya Karatu, kwa ajili ya kukimiliki na kukiendeleza .  Mkuu wa mkoa alitoa agizo hilo,kwenye kikao cha kusikiliza kero za ardhi wilayani humo kilichofanyika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa wilaya. Mkuu wa mkoa ameiagiza Halmashauri kutekeleza hukumu ya mahakama ya wilaya ya Karatu ambayo katika uamuzi wake iliamuru Bakwata kukabidhiwa kiwanja hicho  na kuwaondoa  ndugu watatu waliopo ndani ya kiwanja hicho kwa kuwafidia viwanja viwili kila mmoja eneo la njia panda ambalo walipewa awali na kulikataa. Amesema kuwa anashangazwa na kigugumizi cha halmashauri kushindwa kutekeleza uamuzi wa mahakama ambayo iliipatia Bakwata ushindi kwenye kesi iliyofunguliwa na ndugu watatu wakiongozwa na Erro Barani ambao walikaidi kuondoka kwenye eneo hilo kama walivyoamuriwa na mahakama. ’’Halmashauri mulipaswa kwenda mahakamani ili kuomb…

Nafasi za kazi

Meya Mwita acharuka, awatolea uvivu

MSTAHIKI Meya wa   Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amesema kuwa jiji linatarajia kulikabidhi jengo la Machinga Complex  Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya jamii (NSSF), ili iweze kuliendesha na kurejesha fedha zilizotolewa na mfuko huo kama mkopo kwa halmashauri ya jiji kwa ajili ya ujenzi wa jingo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa leo, Meya  Mwita amesema kuwa halmashauri iliingia mkataba na NSSF wa mkopo wa shilingi bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo . Ameongeza kuwa katika hatua za ujenzi huo, mkataba  ulifanyiwa nyongeza ya shilingi bilioni 2.14 na hivyo kufikia jumla ya mkopo wa shilingi bilioni 12.14 lakini hata hivyo makabidhiano ya jengo hilo yalipofanyika mwaka 2010 gharama za ujenzi zilifikia bilioni 12.7. “ Kinachonishangaza na kuniogopesha ni kwamba , tumejulishwa kuwa deni hilo hivi sasa linakadiriwa kuwa zaidi ya shilingi bilioni 40, kwakuwa tumejirizisha kwamba hatuna uhalali wa deni hilo, nasema hivi, jengo hili nitalikabidhi kwa NSSF, wa…

IGP SIRRO AWASILI MKOA WA ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, wakati alipofika ofisini kwake kujitambulisha na kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo tangu alipoteuliwa kuliongoza Jeshi hilo, IGP Sirro, yupo mkoani Arusha, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Picha na Jeshi la Polisi. **************** Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, na baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo wakati alipofika ofisini kwake kujitambulisha, , IGP Sirro, yupo mkoani humo, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kulinda …

PROFESA MBARAWA AHIMIZA KASI YA UJENZI UBUNGO INTERCHANGE.

Image
PROFESA MBARAWA AHIMIZA KASI YA UJENZI UBUNGO INTERCHANGE. Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroads) mkoa wa Dar es Salaam , Uongozi wa Manispaa ya Ubungo na Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT), kushirikiana ili kuondoa vikwazo vyote vinavyomkabili mkandarasi anayejenga barabara za juu katika makutano ya ubungo (interchange). Akizungumza mara baada ya kukagua kazi za ujenzi zinazoendelea katika mradi huo Profesa Mbarawa amezungumzia umuhimu wa wadau hao kushirikiana ili kuwezesha eneo la ujenzi kuwa safi na salama wakati wote na hivyo kuongeza kasi ya ujenzi. “Hakikisha mifumo ya umeme, maji, mawasiliano ya simu na gesi iliyopita katika eneo la mradi huo inaondolewa haraka na kwa usalama bila kuathiri huduma kwa wananchi”, amesema Profesa Mbarawa. Profesa Mbarawa amekagua maabara ya kuchunguza udongo, ujenzi wa nguzo za barabara za juu, mtambo wa kutengeneza zege na barabara zitakazotumika wakati ujenzi ukiendel…

JPM afanya ziara ya kushtukiza Feri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Agosti, 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika eneo la Feri na kisha kuvuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Kigamboni ambako amekutana na wananchi wa Kigamboni, ametembelea Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere na ametembelea Daraja la Nyerere Jijini Dar es Salaam. Baada ya kukata tiketi yake Mhe. Rais Magufuli amepata wasaa wa kuzungumza na wananchi aliosafiri nao katika kivuko cha MV Kigamboni na baadaye kuzungumza na wananchi wa Kigamboni ambapo ameulizwa na kujibu mambo mbalimbali. Kuhusu ubovu wa barabara Mhe. Rais Magufuli amesema Serikali imechukua hatua ya kukabiliana na tatizo hilo kwa kuanzisha Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) ambayo itafanya kazi ya kutengeneza barabara kwa kiwango cha lami. Kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme amesema Serikali inatekeleza miradi mbalimbali itayoongeza kiwango cha umeme katika gridi ya taifa pamoja na kurekebisha miundombinu yake na amewaomb…

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  AGOSTI 25, 2017 INFANTINO AMPONGEZA KARIA, AMWALIKA ZURICH

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  AGOSTI 25, 2017 INFANTINO AMPONGEZA KARIA, AMWALIKA ZURICH Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Gianni Infantino, ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa TFF kwa kipindi cha miaka minne ijayo ya 2017-2021. Rais Infantino katika barua yake ya Agosti 14, 2017 aliyoiandika kutoka Zurich, amesema: “Ningependa kuchukua nafasi hii kukupa pongezi zangu dhati. Nakutakia kila la kheri katika majukumu yako.” Rais wa FIFA amesema kwamba hana shaka na uwezo wa Karia hasa ikizingatiwa kuwa alikuwa Makamu wa Rais wa kipindi kilichopita, hivyo atakuwa fursa thabiti ya kuiletea nchi maendeleo ya mchezo soka. “Kwa wakati wote, nakuhakikishia ushirikiano wa kutosha kutoka FIFA katika malengo yako. Milango ya FIFA iko wazi wakati wowote wewe kuja kujadili masuala ya mchezo wa mpira wa miguu hasa eneo la utawala. “Ningependa kuchukua nafasi hii kukualika kuja hapa Zuri…

Watatu mbaroni kwa kukutwa na silaha kigoma

WATU watatu wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoa Kigoma kwa tuhuma za kumiliki silaha moja aina ya SMG yenye namba 56-12803036 ikiwa na magazini moja ikiwa na risasi 08 pamoja na  risasi 30 huko Katika Wilaya ya Kakonko. Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa  polisi mkoani Kigoma, DCP Fredinand Mtui alisema Agost 16 mwaka huu katika Kijiji cha  Mgera  tarafa ya Muyama Wilaya ya Buhigwe, askari wakiwa  katika kizuizi  wakiendelea na upekuzi wa magari ilikuja Pikipiki moja  ambayo namba yake haikufahamika  ikielekea eneo ambalo mnada wa Kijiji hicho ulikuwa ukiendelea  ilikuwa na watu wawili wakiwa na mfuko  moja. Alisema watuhumiwa baada ya kuwaona Askari  waligeuza  pikipiki na kuanza kirudi walikotoka  na kutupa mzigo waliokuwa wameubeba, askari walipo pekua mfuko huo walifanikiwa kukuta silaha moja ya SMG  ikiwa na magazini moja nia risasi nane waliyokuwa wakimiliki Kinyume na utaratibu. Kamanda Mtui alisema katika tukio lingine  huko katika kijiji Ch…

TFS KUPANDA MITI KATIKA HEKTA  LAKI 182 KILA MWAKA ILI KUKABILIANA NA UHARIBIFU WA MISTU NCHINI.

Na  Tiganya Vincent RS-TABORA 21 AGOSTI 2017 Wakala wa Huduma za Mistu Tanzanaia (TFS) imepanga kupanga miti katika hekta 182,000 kwa mwaka ili kukabiliana na uharibifu wa mistu ulitokana na shughuli mbalimbali za binadamu katika mistu ya hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana na Afisa Mistu na Mtalaalamu , Mshauri wa Usimamizi na Uhifadhi wa Mistu wa TFS Dkt. Ismail Aloo wakati akiongea kwenye kikao cha utekelezaji wa randama ya ushirikiano wa usimamizi wa rasilimali za mistu kanda ya magharibi. Alisema kuwa hali ya uharibifu wa mistu hapa nchini inatisha ambapo hekta 372,000 kila mwaka zinaharibiwa kutokana na kilimo cha kuhama hama , uchomaji mkaa, mifugo isiyozingatia ufugaji bora na uchanaji mbao usiozingatia taratibu na sheria. Dkt. Aloo aliongeza kuwa  ili kukabiliana na tatizo hilo juhudi zaidi zinahitajika katika upandaji miti kwa ajili ya kuziba pengo la uharibifu wa mistu ambao  umeifanya Tanzania kuwa  uhaba miti kwa ujazo wa mita wa miti milioni 19. Kwa upande wa Mtend…

MAITI YAOKOTWA IKIWA KWENYE MFUKO, MIKONO NA MIGUU YAFUNGWA KAMBA KWA NYUMA

Image
MWILI wa mtu mmoja ambaye bado hajatambuliwa umeokotwa ndani ya mfuko wa kiroba (sandarusi), ndani ya bahari eneo la Kawe, karibu la kituo cha Redio Times Fm. Kulingana na mashuhuda ni kwamba wavuvi waliona kitu kikielea, wakakikizingira wakiamini ni mali, walipokikaribia wakaona mwili wa mtu. Baadae waliiuchukua na kuupeleka kwenye ufukwe na kisha kutoa taarifa ambazo zilisaidia polisi kufika. Baada ya polisi kufika, walifuatia madaktari, ndipo sandarusi ilikatwa ili kuuangalia mwili ilivyokuwa, ndipo ilionekana kwamba mtu huyo alifungwa miguu na mikono kwa nyuma, huku uso wake ukiwa umefungwa plastiki. Polisi waliondoka na mwili kuendelea na taratibu zingine.

UNA HALI GANI KATIKA MAISHA....LIKO LA KUJIFUNZA

MAISHA YA AJABU SANA...WAPO WANAOPATA STRESS SABABU HAJAOLEWA, ANGEJUA KUNA KUNDI LA WANAWAKE KIBAO WANAJUTAAA KUOLEWA.. KUNA WANAOJIPA STRESS KISA HAJAPATA MTOTO, ANGEJUA KUNA WATU WANATESWA KISAIKOILOJIA NA WATOTO WALA ASINGEJIPA MSONGO WA MAWAZO; MTOTO WA KIUME ANAPUMULIWA KISOGONI NA WANAUME WENZAKE...MTOTO KAWA MTOTO SI RIZIKI... WAKATI MWINGINE UNAJIPOA MSONGO WA MAWAZO SABABU HUNA VIATU VIZURI, UNASHINDWA KUFAHAMU KWAMBA KUNA WENGINE HATA MIGUU YA KUVALIA VIATU HAWANA...WENGINE HATA MIKONO HAWANA... KUNA WENGINE WANAJIPA MSONGO WA MAWAZO KISA HALAFU NA HATA MIA HANA...ANASHINDWA KUFAHAMU KWAMBA KUNA WENGINE WANA KILA KITU LAKINI MUDA HUU UNAPOSOMA HII TAARIFA WAPO HOSPITALI WANALAZIMISHWA ANGALAU WANYWE KIJIKO CHA UJI...WENGINE WAMEPITISHIWA MIRIJA PUANI KUPITISHA CHAKULA...HAWAWEZI KULA WAPO WANAOLIA KWA SABABU WAMEKUWA YATIMA, WAMESAHAU KWAMBA KUNA WATU WANA WAZAZI LAKINI LEO BABA KAWA BABA PUMBAFU...KAIBWA NA NYUMBA NDOGO, HAJALI TENA NYUMBANI.... NAMUONA MTANZANIA MMO…

SMZ YAONGEZA PENCHENI YA WASTAAFU

Na Mwajuma Juma, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanya maraekebisho ya pencheni kwa wastaafu ambapo sasa wazee hao watapokea shilingi 90,000 kwa mwezi kutoka 40,000 kwa wastaafu wote wa Zanzibar ambao ni 12,182. Kiwango hicho kipya kimetangazwa jana na Waziri wa Fedha na Mipango wa SMZ Dkt. Khalid Salum Mohammed alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini kwake Vuga mjini hapa. Alisema kuwa kiwango hicho kimeongezeka kwa asilimia 125 ambacho kinakwenda sambamba kiwango cha asilimia 30 kinachokatwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF). Dkt. Khalid alisema kuwa hatua hiyo imefanywa kwa lengo la kutekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati akisoma bajeti ya Serikali katika kikao cha bajeti kilichopita, ambapo kiwango hicho kipya kilikuwa kinaanza utekelezaji wake Julai ya mwaka huu. Alifahamisha kwamba marekebisho hayo yalitarajiwa kuanza mwanzoni mwa mwezi wa Julai lakini ilishindikana kutokana na changamoto ya kupata tarifa za wastaafu ha…

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AHIMIZA KAZI ZA KUJITOLEA KATIKA KUTEKELEZA SHUGHULI ZA MAENDELEO MKOANI IRINGA.

DC SIKONGE AFUTA MABARAZA YA ARDHI YASIYOTENDEA HAKI WANANCHI Na Allan Ntana, Sikonge MKUU wa wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Peresi Magiri amepiga marufuku Mabaraza ya Ardhi ya Kata yanayoshindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo na kutotenda haki kwa wananchi katika usuluhishi wa migogoro ya ardhi. Magiri ametoa onyo hilo katika kikao cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo kilichoketi katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC) wilayani humo. Alisema baadhi ya mabaraza utendaji wake hauridhishi kwa kuwa yamekuwa yakipindisha haki na kuchochea migogoro zaidi miongoni mwa walalamikaji hali inayopelekea kuongezeka kwa chuki na uhasama baina ya wahusika wanaohitaji kusuluhishwa. Alibainisha kasoro kubwa iliyoko katika mabaraza hayo kuwa ni wajumbe kukosa sifa za kufanya kazi hiyo jambo linawakosesha weledi na kutumia nafasi zao vibaya kwa kuendekeza masilahi binafsi katika utendaji wao. ‘Kuanzia leo Mabaraza yote yenye wajumbe wasio na sifa na yale ambayo…

TPA WAPEWA MIEZI MITATU UJENZI FLOW METER

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, ametoa miezi mitatu kuanzia sasa kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kuhakikisha kuwa mkandarasi wa ujenzi wa mita za kupimia mafuta (flow meter), eneo la Kurasini Oil Jetty (KOJ), anapatikana na kuanza kazi mara moja. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri huyo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Bandari ya Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesisitiza mradi huo kumalizika ndani ya mwaka mmoja na ujenzi wa mita hizo kuhusisha bandari za Tanga na Mtwara. "Hakikisheni mnaongea lugha inayofanana kati yenu na mtengenezaji ili kuepuka ucheleweshaji wa mradi huu ambao una tija kwa Taifa, pia hakikisheni mnapeleka wataalam nje ya nchi ili kuwajengea uwezo na kuongozea ujuzi na maarifa katika kusaidia kutekeleza mradi huu", amesema Eng. Ngonyani. Ameongeza kuwa suala la ‘Flow Meter’, ni la ushirikiano kati ya Mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wadau wengi…

WAKULIMA WA TUMBAKU MKOANI TABORA WATAKIWA KUJIPANGA ILI WAACHE KUENDELEA NA UKOPAJI WA MBOLEA.

Na Tiganya Vincent WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Kassim ametoa wito kwa Wakulima wa tumbaku mkoani Tabora kuanza kujipanga ili waanze kilimo cha zao hilo kwa kunununua mbolea kwa kutumia fedha zao badala ya kuendelea kutegemea mbolea za mkopo kupitia vyama vya msingi. Mhe. Majaliwa alitoa kauli hiyo jana katika maeneo mbalimbali wilayani Uyui wakati akiwahutubia wananchi. Alisema kuwa hatua hiyo itawasaidia wakulima hilo kuwa na huru hata wakati wa kupanga bei ya zao wanapokwenda kuwauzia wanunuzi wa tumbaku. Waziri Mkuu aliongeza kuwa tabia ya kuendelea kusubiri mbolea ya mkopo inawafanya wakulima wengi washindwe kusonga mbele kwa sababu pesa nyingi inakwenda katika kulipia deni la mbolea. “Ndugu zangu wakulima watumbaku ni vema kuanzia sasa mkaanza kujipanga kwa msimu ujao wa kilimo kwa kununua mbolea kidogo kidogo ili ikiwezekana ulime kwa kutumia mbolea ulionunua mwenyewe……..hali hii itakufanya uwe uhuru hata wa kuamua bei unayotaka” …

WAZIRI MKUU AMEWATAKA WATUMISHI WA UMMA NENDENI VIJIJINI MKAWATUMIKE WANANCHI

WAZIRI MKUU AMEWATAKA WATUMISHI WA UMMA NENDENI VIJIJINI MKAWATUMIKE WANANCHI Na Tiganya Vincent Tabora Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewaagiza watumishi wote wa umma kuondoka maofisa na kwenda vijijini kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali za wananchi ambazo yanasababisha wasiendelee. Mhe. Majaliwa alitoa kauli hiyo jana wakati akiongea na watumishi wa Wilaya ya Uyi mkoani Tabora. Alisema kuwa wakisha kuwasiliza wananchi warudi Ofisi kwa ajili ya kujipanga namna ya kutatua kero na matatizo ya wananchi ambayo yanakwamisha juhudi zao ya kujiletea maendeleo. Waziri Mkuu alisema Serikali ya Awamu ya Tano ipo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na hivyo imetoa dhamana kwa watumishi wa umma wafanye kazi karibuni kwa kwenda vijijini ili kuwatumikia Watanzania wote. Aidha alionya kuwa Serikali hii haitawavumilia watumishi wa umma wenye tabia za urasimu katika kuwatumikia na kutatua kero mbalimbali za watanzania. "Serikali haitamvumi…

Jaffo akerwa 8 8 kugenuzwa 7 7

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jaffo ameonesha kukerwa na vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watu wanaobadilisha maana ya maadhimisho ya nane nane na kuwa maadhimisho ya sabasaba. Hatua hiyo inatokana na baadhi ya wananchi kutotambua kuwa maonyesho ya nane nane ni kwa ajili ya kilimo, ufugaji na uvuvi na si sehemu ya kufanyia biashara kama vile mabeseni pamoja na nguo huku wengine wakidaiwa kufika katika eneo hilo kwa lengo la kusikiliza muziki. Jaffo alieleza hayo wakati wa kilele cha maadhimisho ya nane nane kanda ya kati yaliyofanyika katika viwanja nane nane nzuguni na kusema kuwa hali hiyo inapelekea wananchi wengi kutofika katika maeneo hayo kwa lengo la kujifunza maswala ya kulimo. “Watu wanakuja kununua nguo,mabeseni ya kuwaogeshea watoto pamoja na nguo, wengine wanakuja kusikiliza mziki na vitu hivyo ambavyo wanakuja kununu vinapatikana saba saba hapa nane nane si mahali pake”alisema Jaffo. Alisema ili kuh…

WAKUU WA WILAYA WAAGIZWA KUKAMATA NA KUTAIFISHA TUMBAKU INAYOUZWA KINYEMELA

WAKUU wa wilaya mkoani Tabora wameagizwa kukamata na kutaifisha tumbaku na malori yatakayokutwa yamepakia tumbaku na kwenda kuuzwa kinyemela nje ya utaratibu uliowekwa na serikali. Agizo hilo limetolewa jana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa alipokuwa akizungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara iliyofanyika wilayani Sikonge na Urambo. Alisema zao la tumbaku ni muhimu sana kwa uchumi wa wananchi wa mkoa wa Tabora na maeneo mengine hapa nchini lakini utaratibu mbaya na mazoea ya baadhi wakulima kuuza kiholela haukubaliki. Alisema kuanzia sasa kila mkulima atatakiwa kuuza tumbaku yake katika chama chake cha msingi (AMCOS) na si vinginevyo na ni marufuku wauzaji binafsi (IF) na Associations au mtu yeyote yule kuuza nje ya utaratibu huo. ‘Wakuu wa wilayani kamateni tumbaku yote itakayouzwa kiholela nje ya utaratibu huu na malori yote yatakayotumiwa kubeba tumbaku hiyo yakamateni mara moja’, aliagiza. Aliagiza Maafisa Kilimo na Maafisa U…

Rais Shein aipongeza Bodi Benki ya Watu wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, ametoa pongezi kwa Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na uongozi wa Benki hiyo kwa mafanikio iliyoyapata na kuitaka kujiendesha kibiashara ili ipate kuimarika zaidi. Dk. Shein aliyasema hayo, alipokutana na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), pamoja na uongozi wa Bodi ya PBZ katika vikao vinavyoendelea Ikulu mjini Zanzibar. Katika vikao vya leo, Dk. Shein kwa nyakati tofauti alikutana na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bodi ya Wakurugenzi ya PBZ na uongozi wake pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima na uongozi wake. Aidha, Dk. Shein alieleza kuwa licha ya changamoto zilizojitokeza lakini Benki hiyo imeweza kupata mafanikio makubwa na kusisitiza haja ya kuwepo kwa mashirikiano ya pamoja hatua ambayo itasaidia kuiendeleza Benki hiyo. Akitoa maelezo yake Dk.Shein alisema kuwa wafanya…

YEYOTE ANAYEWANIA UONGOZI LEO HII KWA LENGO LA KUTAJIRIKA AMEPOTEA NJIA"'-MHE.MWAKYEMBE

VIWANDA KIBAO VYARUDISHWA SERIKALINI; https://www.youtube.com/embed/Qt4L2Oslaew

https://www.youtube.com/embed/Qt4L2Oslaew

NINI kilisababisha watu wakawahusisha Wahehe na Mbwa?

Image
Hivi ni kweli kabila la Wahehe wanakula mbwa? Navyojua mimi hizi ni story za watu vijiweni hakuna mhehe anayekula mbwa. Kipindi cha ukoloni Wajerumani waliwauliza Wahehe kwamba wanapenda chakula gani? Wakajibu wanapenda kula madogi wakimaanisha maharage. Ndipo wazungu wakachukulia moja kwa moja kuwa wahehe wanakula mbwa. Kama kuna mwenye ufahamu zaidi, karibu utusaidie kujua ukweli.

TEMBELEA KURASA ZA Albert Thomas Kawogo KUNA JAMBO UTAJIFUNZA

Albert Thomas Kawogo WINGU LA MOTO... JAMAA kaingia saluni na kijana mdogo akamwambia kaa pale mwanangu nikimaliza kunyolewa nakwenda kukuletea hizo biscut zako. Alipomaliza kunyoa akapigwa scrub ya nguvu katoka mweupee usoni akawa anaongea huku akijitazama katika kioo; akawaambia wahusika nakwenda ATM naomba msimruhusu huyu dogo kutoka nje ni mtundu kisha akamgeukia yule mtoto kaa hapa hapa hadi nirudi nakuletea box lako la biscut kisha akatoka. Baada ya masaa mawili kupita yule dogo kasinzia sana kachoka mwisho akasema ah! mi naenda nyumbani mama atanichapa. Kijana wa hapo saluni aliyepewa kazi ya kumwangalia akamwambia msubiri babaako arudi;dogo akajibu yule sio babaangu,babaangu hajarudi kazini. Wakamuuliza sasa yule ni nani dogo akajibu mi simjui kanikuta palee nacheza akasema unataka biscut nikamwambia ndio akasema twende pale saluni nikimaliza kunyolewa naenda kukuletea biscut. Tangu jamaa aende kuleta biscut na kutoa hela ya kunyolewa na scrub huko ATM, leo ni siku ya …

SERIKALI IMEONYESHA MKAZO NA MSISITIZO KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

SERIKALI IMEONYESHA MKAZO NA MSISITIZO KATIKA KILIMO CHA UMWAGILIAJI. Na Ismail Ngayonga MAELEZO DAR ES SALAAM 8.8.2017.   KILIMO ndiyo Msingi wa Uchumi wa Taifa letu ambapo takribani asilimia 70 ya Watanzania hutegemea sekta hiyo kama shughuli kuu ya Kiuchumi.   Hata hivyo, pamoja na ukweli kwamba Nchi yetu ina eneo kubwa linalofaa kwa Kilimo takriban Hekta Milioni 29.4, ni Hekta 290,000 tu, sawa na Asilimia Moja (1%) zinazotumika kwa Kilimo cha Umwagiliaji Maji. Kwa maana hiyo, Kilimo cha Umwagiliaji kinayo nafasi kubwa ya kuwezesha kufikia Mapinduzi ya Kijani kwa kuwa kinatuhakikishia uzalishaji endelevu wa mazao badala ya kutegemea mvua ambazo hazina uhakika wa kiasi na wakati wa kunyesha katika msimu. Serikali imekusudia kuongeza eneo la umwagiliaji kufikia hekta 1,000,000 katika skimu za wakulima wadogo, wa kati na wakubwa ifikapo mwaka 2020, ikiwa ni njia mojawapo ya kuongeza uzalishaji wa Mazao ya chakula na biashara na kuongeza tija katika kilimo. Akiwasilisha Makadir…

Mradi wa PS3 Kuwezesha Halmashauri 93 Kufungiwa Intaneti

Image
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO, Morogoro. Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) unategemewa kuziwezesha halmashauri 93 nchini kufungiwa miundombinu ya mtandao (Intaneti) ili kuimarisha utendaji kazi wa Halmashauri hizo. Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari ametoa taarifa hiyo jana mjini Morogoro wakati akifungua mafunzo ya Mfumo ulioboreshwa wa kuandaa Mpango wa Bajeti za Mamlaka ya Serikali za Mitaa ujulikanao kama planRep. Tandari alisema kuwa kutokana na mabadiliko na kurahisishwa kwa teknolojia, mfumo huo mpya unafanya kazi kwa kutumia mtandao katika kuwezesha halmashauri nchini kuingiza taarifa za mipango na bajeti kwa njia ya mtandao kwa hiyo kufungiwa miundombinu ya mtandao katika halmashauri ni jambo la muhimu na lisiloepukika. “Kwa kuwa mradi huu utasaidia kupata mitambo ya Intaneti kwa halmashauri 93 basi natoa angalizo kwa watumiaji wa mfumo huo kuwa hakutokuwa na kisingizio cha kutokuwepo kwa mtandao bali tunatarajia matokeo mazuri ya kuon…

MFAHAMU MREMA ALIYEUA MAMBA 607 ZIWA NYASA

Image
NILIBAHATIKA kufanya mahojiano miezi sita kabla ya kifo chake Mstaafu wa JWTZ John Ntembo maarufu kwa jina la MREMA (pichani) ambaye hawezi kusahaulika na wananchi mwambao mwa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma baada ya kufanikiwa kukomesha tatizo la mamba kuua watu lililohusishwa na imani za kishirikiana ambalo lilikithiri hasa katika maeneo la Liuli na Mbambabay. Matukio ya mamba kuua watu yalipungua baada ya kujitosa kwa Mrema ambaye hivi sasa ni marehemu John Ntembo ambaye kuanzia mwaka 1992 alifanya operesheni kabambe ya kuwaua mamba kwa kutumia ndoana maalum iliyowekwa nyama ya mbwa na aliniambia alifanikiwa kuwaua mamba 607 na kukomesha tatizo hilo. Mstaafu huyo wa JWTZ aliniambia,Wizara ya malisili na utalii ilikubali kutoa kibali cha kuwaua Mamba katika ziwa Nyasa baada ya vitendo vya mamba hao kukamata na kuua watu kuongezeka na kuleta hofu kwa wananchi ambapo mwaka 1991 mamba hao walidiriki kuwakamata raia wa kigeni ambao walikuwa wanafanya uvuvi wa samaki wa mapambo katika ziwa N…

Wakenya wapiga kura kumchagua rais mpya

Mamilioni ya Wakenya wanatiririka vituoni leo kupiga kura katika uchaguzi mkuu ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkali kabisa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa upinzani Raila Odinga Kenia Wahlen in Nairobi (Reuters/T. Mukoya) Rais Uhuru Kenyatta, mwana wa rais wa kwanza wa Kenya, anagombea muhula wa pili dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga, ambaye ni mwana wa Makamu wa rais wa kwanza wa nchi hiyo. Baada ya miezi miwili ya kampeni zilizojaa maneno makali lakini hotuba za umma ambazo kwa kiasi kikubwa hazikugusia hisia za chuki za kikabila ambazo zilizigubika chaguzi za awali, uchunguzi wa maoni umewaweka wagombea hao katika kinyang'anyiro kikali. Matokeo ya mwanzo hayatarajiwi kutolewa kabla ya kesho Jumatano, lakini kiyang'anyiro kikali huenda kikamaanisha kuwa mshindi ataibuka baada ya hata siku tatu. Kwa mujibu wa katiba, tume ya uchaguzi ina hadi siku saba kumtangaza mshindi. Maelfu ya raia wamehama mijini kwenda mashambani kabla ya uchaguzi wakihofia kuzuka…

Temperature, rainfall, prevailing weather conditions, when to go, what to pack Flag - Tanzania

Tanzania is a big African country, overlooking the Indian Ocean, and lying just south of the Equator. Much of the country is covered by a plateau, in which a large number of world-famous tourist attractions are found, with several parks and nature reserves, in the savannah environment. This plateau has a tropical climate, warm but not too hot because of altitude. On the contrary, the thin coastal stretch is hot and humid throughout the year, especially from November to April. As regards the rain pattern, the country can be divided into four zones. In the north and east, except the region of Lake Victoria, there are two rainy seasons: one less intense, known as short rains season, between October and December, and the other more intense, known as long rains season, from March to May, with the peak in April. In January and February, in the period between the two rainy seasons, the weather is hot and sultry, at least below a thousand metres (3,300 feet). In the far north-west, the tw…