NINI kilisababisha watu wakawahusisha Wahehe na Mbwa?


Hivi ni kweli kabila la Wahehe wanakula mbwa? Navyojua mimi hizi ni story za watu vijiweni hakuna mhehe anayekula mbwa. Kipindi cha ukoloni Wajerumani waliwauliza Wahehe kwamba wanapenda chakula gani? Wakajibu wanapenda kula madogi wakimaanisha maharage. Ndipo wazungu wakachukulia moja kwa moja kuwa wahehe wanakula mbwa. Kama kuna mwenye ufahamu zaidi, karibu utusaidie kujua ukweli.

Comments

Tanzania

Mtandao wataka marekebisho sheria za usalama barabarani

NI RAHISI SANA KWA SHETANI KUWA MTAKATIFU KULIKO MAGAZETI YOTE YALIYOPO KUTIMIZA VIGEZO VYA KUSAJILIWA UPYA