Watoto wawili wateketea kwa moto na mwenyekiti wa halmashauri ya Kibondo atoweka ktk Mazingira Tata kigoma.


Na Magreth Magosso,Kigoma WATOTO  wawili wa familia moja katika Kijiji Cha Mpeta wilayani UVinza mkoani hapa wamekufa baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuteketea kwa moto . Akithibitisha hilo jana ofisini kwake kigoma ujiji, mbele ya wandishi wa habari Kamanda wa Polisi wa hapo Ferdinand Mtui alisema 31,Julai,Mwaka huu saa 3.00 usiku alishtuka kuona nyumba yake kuwaka moto . Alisema chanzo cha moto huo ni upepo uliokuwa ukivuma kwa  kasi ambapo cheche za moto zilitoka katika eneo la jiko lililokuwa karibu na nyumba hali iliyosababisha  nyumba kungua huku watoto wawili wakiwa ndani . Akiyataja majina ya watoto hao ni pamoja na Masanyiwa Misembi (2)na Silipa Malandaza ambapo wote ni familia ya Mayila Lumalija . Pia katika tulip Hilo Tunis tatu za mpingsa zenye thamani ya kiaai cha sh.180,000 na gunia tatu za mahindi zenye thamani ya sh.288,000 ziliteketea lea moto buku Bashir ya thamani mbalimbali zimeungua hasa vifo vya watoto hao. Katika tukio la Pili Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya kibondo Simoni Kanguye  ametoweka katika Mazingira ya kutatanisha tangu Julai ,20 Mwaka huu. Akifafanua hilo DCP Ferdinand Mtui alisema saa 6.00 usiku mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya kibondo SSP F.Utonga alipokea tarifa kutoka kwa ndugu wa  mwenyekiti huyo Osward Kanguye . Alieleza kuwa tarifa za awali zinadai kuwa julai ,20,Mwaka huu saa 3.45 asubuhi mwenyekiti hiyo alikuwa pamoja na Umoja wa vijana wa CCM wakiandaa mandalizi ya ujio wa Naibu Katibu mkuu wa chama hicho na kinda wakaondoka na mkurugenzi wa halmashauri ya hapo. Kamanda Mtui aliainisha kuwa kwa mujibu wa maelezo ya mkurugenzi wa halmashairi hiyo alidai waliokuwa na mwenyekiti huyo ofisini kwako wslijadili hoja ya mishahara kwa watumishi wasiolipwa na aliposaini waliachana kila mmoja akienda kwenye ofisi take. Aidha mtui akiri kiongozi huyo kukutwa na majanga kadhaa ya uvunjifu wa sheria likiwemo kuwaingiza wahamiajo haramu kinyemela na kuwatumikisha katika mashamba yake na uchunguzi unaendelea kubaini alipo na sababu ya kutoweka huko. Mwisho.

Comments

Tanzania

TAARIFA MBAYA KWA WAVUTAJI WA SIGARA, TUMBAKU

HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY A. MWALIMU (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2018/2019

MADAI YA WAFANYAKAZI YASABABISHA VIFAA VYA UJENZI VYA KAMPUNI YA  CEYTUN KUZUIWA UWANJA WA NDEGE TABORA.