Fuatilia Gari Lako Kwa Shs 1000/=


Do you wish to Track your Trucks & Cars from your Phones? Ndiyo ! Kufuatilia gari lako lilipo kwa kiwango cha chini kuanzia Tsh 1000 tu kwa siku. Magari aina zote unaweza kufuatilia - Gari Ndogo, Lori na vile vile Boda Boda. 1. Je unataka kuokoa pesa kwenye magari ama boda boda? 2. Je unajua unaweza kufuatilia kuanzia gari moja mpaka magari 1000? 3. Je unataka kujua gari lako lilipo na wakati wowote? 4. Je unataka kuboresha huduma zako? 5. Je unataka kupunguza wizi au uharibifu wa magari? 6. Je unataka kujua tabia za Dereva wako? 7. Je unataka kupunguza ajali? 8. Je unataka kuwa na amani? Tuna ufumbuzi kutoka kwa Power Truck ya Power Computers Kwa kutumia simu za Android na Iphone unaweza kupata taarifa za mwenendendo wa gari lako kwa kubonyeza tu simu yako. Na pia unaweza kufuatilia gari lako lilipo Mtandaoni kwa kutumia kompyuta. ---------- Tupigie kwa ajili ya majaribio. Powertrack –Ni sehemu moja ya pekee ambapo utapata majibu yote kuhusiana na ufuatiliaji na udhibiti wa gari lako. Kwa kufuatilia Magari makubwa, saloon (magari madogo) bajaji,pikipiki(boda boda) Power Truck inakuwezesha kupata taarifa mtandaoni ama kupiga simu kuhusiana na gari lako masaa 24 kwa siku saba(24/7). Power Track inakupa mfumo mzuri wa kufuatilia gari kupitia mtandao. Huduma hii inakuruhusu kuweza lifuatilia gari lako (chombo chako cha usafiri) kwa kina na kujua lilipo, kama linaendeshwa kwa kasi kubwa,kusimama njiani sehemu isiyo rasmi na vile vile kukupatia taarifa kamili. Kufahamu ni wapi gari lako lilipo na kwa wakati gani, au lilikuwa wapi ni jambo ambalo kwa sasa lipo mikononi mwako kwa udhibiti mkubwa kabisa. Fuatilia gari lako popote lilipo kwa urahisi kwa kutumia Power Track !!! Kwa mfumo wa kufuatilia gari lako – Tafadhari wasiliana na:- Mr. Aliabbas Manager - Powertrack Email ali@powercomputers.net Call: 0788 014929 / 022-2133039 http://www.powertrack.co.tz Mr. Emanuel Sales - Powertrack Email : sales@powertrack.co.tz Tel : 0788-044690 http://www.powertrack.co.tz M/s Shabniz Karim Mwanza Branch Manager Mobile : 0784 217 179 Email : powercomputersmwanza@gmail.com M/s Mary Kimario For Server, Laptops, Desktops, Printers, Toners Showroom Sales Manager Mobile: 0654 411288 Email: mary@powercomputers.net M/s Dominica Kitwange For Server, Laptops, Desktops, Printers, Toners Senior Sales Executive Mobile: 0782 769370 Email: kdoinica@powercomputers.net

Comments

Tanzania

TAARIFA MBAYA KWA WAVUTAJI WA SIGARA, TUMBAKU

HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY A. MWALIMU (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2018/2019

MADAI YA WAFANYAKAZI YASABABISHA VIFAA VYA UJENZI VYA KAMPUNI YA  CEYTUN KUZUIWA UWANJA WA NDEGE TABORA.