KENYA INAISHANGAZA DUNIA! 1. Mahakama ya Juu ya Kenya imeamua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya iliendesha uchaguzi wa nchi hiyo kwa kutokufuata Katiba na Sheria. 2. Mahakama imetoa amri kuwa Ushindi wa Uhuru Kenyatta na Jubilee ni batili na imeufuta. 3. Mahakama imeiagiza IEBC kuitisha uchaguzi mpya ndani ya siku 60. 4. Mahakama imeagiza uchaguzi huo ufanyike kwa kufuata katiba na sheria. "Kenya ni taifa tunalolidharau kwa sababu ya siasa la kikabila, lakini Kenya ni taifa litakalokuwa mwalimu wa siasa na demokrasia Duniani, hata Marekani sasa watajifunza Kenya"

Comments

Tanzania

Mtandao wataka marekebisho sheria za usalama barabarani

NI RAHISI SANA KWA SHETANI KUWA MTAKATIFU KULIKO MAGAZETI YOTE YALIYOPO KUTIMIZA VIGEZO VYA KUSAJILIWA UPYA