Posts

Showing posts from November, 2017

Katibu Mkuu Bi. Suzan amewataka Watumishi wa Wizara ya Habari kufanyakazi kwa uadilifu.

Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi amewataka watumishi wa wizara hiyo kufanyakazi kwa uadilifu na weledi kwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma katika kuwahudumia wananchi. Katibu Mkuu Bi.Suzan amesema hayo leo mjini Dodoma katika kikao na watumishi wa Wizara ambapo amewahamasisha kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo ya Serikali ya kuwatumikia wananchi kupitia sekta za wizara hiyo ambazo ni Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. “Endeleeni kuwa waadilifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma, ni wajibu wa kila mmoja wetu kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu. Sheria zipo ili zitekelezwe” alisisitiza Katibu Mkuu Mlawi. Aidha, Katibu Mkuu huyo amewataka watumishi hao kushirikiana kwa karibu na viongozi ili kuimarisha umoja utakaoleta maarifa na ufanisi wa matokeo bora ya kiutendaji kwa manufaa ya umma. Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Nicholaus William amewaomba watumi…

Violent discipline, emotional and sexual abuse stalks millions of children worldwide – UNICEF

Violence against children – some as young as one year old – is pervasive in homes, schools and communities, new report with disturbing data reveals DAR ES SALAAM & NEW YORK, 2 November 2017 – Staggering numbers of children – some as young as 12-months-old – are experiencing violence, often by those entrusted to take care of them, UNICEF said in a new report released today. The report entitled A Familiar Face: Violence in the lives of children and adolescents reveals that: Violence against children in their homes: · Three-quarters of the world’s 2- to 4-year-old children – around 300 million – experience psychological aggression and/or physical punishment by their caregivers at home; · Around 6 in 10 one year olds in 30 countries with available data are subjected to violent discipline on a regular basis. Nearly a quarter of one-year-olds are physically shaken as punishment and nearly 1 in 10 are hit or slapped on the face, head or ears. · …

WAOMBA ADHABU Y A KIFO ITEKELEZWE

> Na Mwandishi wetu,Rukwa > BAADHI ya wakazi mkoani Rukwa wamemuomba Rais John Magufuli abadili msimamo wake na kuanza kuidhinisha wafungwa waliohukumiwa kunyongwa,wanyongwe ili kupunguza mauaji holela ya watu wasio na hatia yanayoendelea kutokea. > > Ombi hilo limetolewa jana kwa nyakati tofauti baada ya kutokea mauaji ya Telestina Silanda(45) mkazi wa kijiji cha China kata ya Kate wilayani Nkasi baada ya kuuawa kwa kuchinjwa na watu Wasiojulikana akiwanyumbani kwake. > > mmoja wa wakazi wa mjini Sumbawanga mkoani humo aliyejitambulisha kwa jina la Frank Paschal alisema kuwa kutokana na kuwa adhabu ya kunyonga haijatekelezwa muda mrefu hapa nchini huenda ikawa ni sababu ya baadhi ya watu kufanya mauaji holela kwakua wanajua hata wakiua hawata nyongwa watakwenda kukaa gerezani kwa maisha yao yote. > > Alisema kuwa kumbukumbu zinaonesha kuwa adhabu hiyo ilitekelezwa kwa rais wa awamu ya pili lakini marais waliofuata wamekuwa wakikwepa kuidhinisha watu w…